Sunday, October 21, 2012

Vijimambo vya UKWELI... furahi uongeze maisha. Karibuni sana Stans Kit Kempinsky

 Ndo hii ya maji pichani juu itajaa lini? Na msela huyu hapo chini anahitaji remote kweli?

Ni vijimambo tuu...










MENU YETU MPYA... OUR NEW MENU!

Pia tunatoa huduma za mapishi ya ubunifu, kama mteja anapenda kujaribu "test" yake kwa gharama yake, tunapokea, kumshauri na kumpikia! Karibuni sana.

We also welcomed our esteemed clients with special delicious test, we will advise them accordingly, AGREE on special prices for special test and we cook for them. You are all welcomed.

Wednesday, May 30, 2012

Karibu Huduma Bora

 Hapo juu ni contact zetu, ambazo ni 0713336042, 0715336042, 0683086458, na 0762442367. Chini ni menu zetu... bado kuna zile za papo kwa hapo imbayo inategemea na jinsi unavyotaka na ubunifu wa Chef Stanley Lemunge

moja ya menu zetu... karibu sana.